May 13
2016 ilikuwa ni zamu ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
kuwasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka
2016/2017 kiwango kilichoombwa ilikuwa ni Sh. 20,326,176,000 ambapo kati ya hizo, fedha za matumizi ya kawaida ni Sh. 17,326,176,00
Katika kipindi cha kupokea michango ya maoni kutoka kwa Wabunge, Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga akaguswa na harakati za staa wa Bongo flava Diamond Platnumz…
>>’Ingekuwa
amri yangu tungechonga sanamu la Diamond tukaliweka kwenye mnara wa
Askari, ule mnara tumeuchoka. Ametufikisha mbali naameitangaza nchi yetu
huko mbele‘
‘Serikali
hatuna mpango wowote wa kuwasaidia wanamuziki, wanapenya wenyewe
tunaenda kukutana nao mbele na sisi tunajifanya kuwasaidia. Yuko wapi Mr. Nice?,hatujawawekea mfumo mzuri, ninaongea haya nikiyamaanisha’
Unaweza kumcheki kwenye hii video hapa chini…
Post a Comment